• Latest News

  November 06, 2016

  WACHEZAJI WA REAL MADRID WAZAWADIWA MAGARI, THAMANI YAKE NI MARA MBILI YA WALIYOPEWA BARCELONA  Kuna tofauti ya point mvili tu kwenye msimamo wa La Liga lakini Real Madrid imeonyesha ni yenye thamani baada ya wadhamini kampuni ya Audi ya Ujerumani kutoa magari mapya kwa wachezaji wake ambayo thamani yake ni takribani mara mbili ya wale wa Barcelona.

  Wachezaji wote wa Real, jumla wamechukua magari yenye thamani ya pauni 2,363,866, huku wale wa Barcelona wakiwa wamepewa yenye thamani ya £1,373,215.
  MAGARI AINA YA AUDI WALIYOZAWADIWA WACHEZAJI WA REAL MADRID 
  Mariano - Audi Q7 e-tron 3.0 TDI 373 CV
  Danilo - Audi RS 6 performance 4.0 TFSi 605 CV
  Rubén Yáñez - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Fabio Coentrao - Audi Q7 e-tron 3.0 TDi 373 CV
  Kiko Casilla - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Raphael Varane - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Marco Asensio - Audi Q7 e-tron 3.0 TDI Design 373 CV
  Casemiro - Audi A7 Sportback competition 3.0 BiTDi 326 CV
  Nacho Fernández - Audi SQ7 4.0 TDI 435 CV
  James Rodríguez - Audi RS 7 performance 4.0 TFSI 605 CV
  Isco Alarcón - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Daniel Carvajal - Audi SQ7 4.0 TDI 435 CV 

  Keylor Navas - Audi RS 7 performance 4.0 TFSI 605 CV
  Marcelo - Audi Q7 3.0 TDI Design 272 CV
  Luka Modric - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Karim Benzema - Audi RS 6 performance 4.0 TFSI 605 CV
  Toni Kroos - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Mateo Kovacic - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Álvaro Morata - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Gareth Bale - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Pepe - Audi SQ7 4.0 TDI 435 CV
  Lucas Vázquez - Audi Q7 3.0 TDI Sport 272 CV
  Cristiano Ronaldo - Audi RS 6 performance 4.0 TFSI 605 CV
  Sergio Ramos - Audi S8 plus 4.0 TFSi 605 CV

  Zinedine Zidane - Audi RS 6 4.0 TFSI 560 CV


  HAYA NI MAGARI AINA YA AUDI AMBAYO WALIZAWADIWA WACHEZAJI WA KIKOSI CHA BARCELONA

  Car
  Price (£)
  Quantity
  Total (£)
  Audi Q7 Sport 3.0 TDI
  65,820
  16
  1,053,100
  Audi RS Q3 performance
  63,200
  3
  189,606
  Audi A7 Sportback S Line edition 3.0 TDI
  65,19
  2
  130,374
  Audi RS 7 Sportback performance
  135,63
  1
  135.63
  Total
  129,221
  22
  1,373,215
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WACHEZAJI WA REAL MADRID WAZAWADIWA MAGARI, THAMANI YAKE NI MARA MBILI YA WALIYOPEWA BARCELONA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top