Header Ads

FEEL GOOD YA NAVY KENZO FT. WILDAD SASA UNAWEZA KUIPAKUA KUTOKA MKITO

Kwa wale wenzetu wanaopenda ngoma zenye vibe za kimbelembele bila shaka mpaka sasa watakuwa wanafahamu kwamba Naavy Kenzo wameachia ngoma yao inayokwenda kwa jina la “Feel Good” wakishirikiana na Wildad ambayo tayari iko ndani ya Mkito Dot Com pekee (Execlusive). 

Wildad ni msanii kutoka “The Industry” lebo ambayo iko chini ya kundi la Navy Kenzo hivi karibuni amekuja kwa kasi na kusumbua na ngoma yake ya “Get it on” (http://bit.ly/GetITOn Moja ya mawe yaliyomo ndani ya albamu yao mpya ni “Above Inna Minute” (AIM) ambayo itaanza kupatikana kuanzia Desemba. Pakua ngoma hii “Feel Good” hapa http://bit.ly/FeelGoodNK Nimekusogezea video ya “Feel Good” ili uitizame baada ya kuwa umepakua ngoma hii Mkitoni kwa kubofya link hii http://bit.ly/FeelGoodNK

No comments