Header Ads

Godzilla akanusha kuwekwa kinyumba na Dee Andy

Rapa Godzilla amekanusha kuwekwa ndani kimapenzi na aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Fm, Dee Andy.

Dee Andy na Godzilla
Wawili hao hapo awali walidaiwa kutoka kimapenzi.
Kupitia mtandao wa twitter Godzilla amebainisha suala hilo halipo kama lilivyoandikwa kwenye mtandao flani ya kijamii.
“Mwambieni yuke boya aliyeandika Jamii Forum nakaa ndani tu kisa Doreen this is my family😂😂😂 ..now go play,” alitweet King Zilla.


By Peter Akaro

No comments