Header Ads

Rais Uhuru Kenyatta Akutana na Donald Trump Nchini Italia

Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na Rais Donald Trump.
Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Rais Donald Trump jana huko Taormina nchini Italia walipo kuwa wanaudhuria mkutano wa nchi za G 7 na kufanya mazungumzo mbalimbali.
Wakiwa katika picha ya pamoja.


No comments