Header Ads

Vera Sidika anataka kupata mtoto kabla ya miaka 30

Vera Sidika amefunguka kuhusu kupata mtoto.

Mrembo huyo kutoka Kenya anayewatoa udenda vidume wengi kutokana na umbile lake, amekiambia kipindi cha Talk Central, anataka kupata mtoto kabla hajafikisha umri wa miaka 30 kwa kuwa hataki kupata mtoto akiwa umri mkubwa ili aweze kuurudisha mapema mwili wake.
“I am getting a baby before I turn 30. I want to get a baby before I am too old then get my sexy body back. Sperm banks are here with us and there is nothing wrong with taking that route,” amesema.

“I am not the kind that believes in marriage. Honestly, I don‘t need a man to get a baby. I don’t think relationships are made for people like me. I have been proposed to twice, once by a very prominent personality but that is not my thing. Every time I try to date I stay like three months and it doesn‘t work so I kind of stopped going that emotional way. I mean, I don‘t want to have 100 divorces and be branded heartbreaker,” ameongeza.

No comments