Header Ads

Amber Rose ajibu mapigo kwa ex wake Wiz Khalifa


Mwanamitindo kutoka Marekani Amber Rose ameamuqa kuvunja ukimya kwa mzazi mwenzake Wiz Khalifa.

Mrembo huyo kupitia mtandao wa Instagram, amepost mbili na kuandika ujumbe mzito ambao umewaacha midomo wazi watu wengi.

“If ur not willing to hold up a sign that says “Don’t tell Women what to Wear tell Men not to RAPE” or “Her Pussy Her Choice” at my Slutwalk ur not the one for me Fam ✌🏽#amberroseslutwalk,” aameandika kwenye picha bhiyo hapo juu.

“So sexy. I’m so wet right now 😒🙄,” ameandika kkatika picha nyingine.
Utata wa maneno hayo umeweza kuzua mjadala mzito mitandaoni, ambapo baadhi ya watu wanadai kuwa Amber amemlenga Wiz aliyezaa naye mtoto mmoja [Sebastian] ambaye siku ya jana alipost picha akiwa na mwanamke mwingine anayedhaniwa kuwa ndiye mpenzi wake mpya.

No comments