Header Ads

Bifu ya Nicki Minaj na Remy Ma yapamba moto

Femcee wa Marekani, Nicki Minaj na Remy Ma wameendelea kuikuza bifu yao. Jumamosi, kwenye show ya Hot 107.9 Birthday Bash, Nicki aliungana na Gucci Mane kutumbuiza wimbo wao, Make Love ambayo baadhi ya mashairi yake yamemlenga Remy.

Kama haitoshi, Nicki alitumbuiza wimbo wake No Frauds akiwa na bosi wake, Lil Wayne. Hiyo ilikuwa ni tusi kwa Remy ambaye naye alitumbuiza kwenye tamasha hilo.

Kupitia Instagram, Remy alijibu mapigo, “Wait. I know ni**as is not out here trying to act like we was all in the same building and you acting all tough and hardcorial. First of all, nobody even looks at you like that. Do you know that nobody believes that you’re tough like that? Stop. It’s actually painful to watch.”

Aliongeza, “Everybody knows I’m still on papers & I really be on some chill sh*t; perhaps that’s why b*tches out here ‘FRAUDing. WhyYouFrontingLikeYouDidSomething, #YouWaitedTilHoursAfteriLeft #LikeUAlwaysDo, and #StopMentioningFelonsTilThatALLEDGEDPedophileGetOfTrial.”

No comments