Header Ads

Breaking News: Donald Ngoma Asaini Yanga


Mshambuliaji wa  Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo katika Ligi Kuu Bara msimu ujao.
Ngoma ambaye alikuwa akihusishwa kujiunga waponzani wa Yanga, Simba kabla ya kuzuka kwa taarifa za kujiunga na klabu ya Polokwane City inayoshiriki Ligi ya kuu ya Afrika Kusini ‘Primiership ABS‘ ambapo alitua nchini usiku wa jana na  mchana  wa leo amesaini mkataba huo.

No comments