Header Ads

Breaking News: Mzee Yusuph Amefiwa na Mke Wake Usiku Huu


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bendi ya Jahazi Modern Mzee Yusuf.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bendi ya Jahazi Modern, Mzee Yusuf amefiwa na mkewe usiku huu. Mmoja wa Wakurugenzi wa Jahaz Modern Taarab, Mzee Juma Mbizo ameiambia Global Publishers kuwa bi Chiku, ambae alikua mke mdogo wa Mzee Yusuf amefariki dunia katika Hospitali ya Amana wakati akijifingua. Mtoto nae pia amefariki.
Marehemu bi Chiku, ambae alikua mke mdogo wa Mzee Yusuf.
Uongozi na wafanyakazi wa Global Publishers unatoa pole kwa Alhaj Mzee Yusuf kwa kuondokewa na mtoto pamoja na mkewe kipenzi, Bi Chiku. Mwenyezi Mungu ampe moyo wa subira katika kipindi hiki. Inna Lilahi Wainna Ilaihi Raajioun!

No comments