Header Ads

Harmonize Na Mpenzi Wake Mzungu Wakila Bata Marekani Wolper Afunikwa (Video)


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize aliyekuwa akitread na mpenzi supa staa Wolper baada ya kutemana naye kwa sasa ameanzisha penzi jipya na pedeshee wa kizungu.

Kwa sasa yupo nchini marekani wakiendelea kula bata sehemu mbalimbali huku mashabiki zake wakimpongeza na kumponda Wolper kuwa ajawahi kutinga Marekani

No comments