Header Ads

HIVI NDIVYO CRISTIANO RONALDO ANAVYOFUNIKA KWA MIJIHELA YA KUTISHA KWA WANAMICHEZOTaasisi ya Forbes mapema wiki hii ilitoa majina ya wanamichezo walioingiza fedha nyingi kwa mwaka mmoja uliopita, ambapo Cristiano Ronaldo anaongoza.
Forbes imetoa wanamichezo 100 wanaolipwa ghali kwa sasa ukiwa ni utaratibu wao wa kila mwaka. Ronaldo ambaye ni staa wa soka wa Real Madrid, amelipwa pauni milioni 71.8. 

Siku za nyuma walioongoza chati hiyo ni Tiger Woods ambaye ni mchezaji wa golf na Floyd Mayweather bondia mstaafu.

Orodha kamili ya wanamichezo wanaolipwa ghali zaidi
1. Ronaldo       soka            pauni 71.8m
2. LeBron        kikapu           pauni 66.6m
3. Messi          soka            pauni 61.8m
4. Federer       tenisi         pauni 49.4m
5. Durant        kikapu         pauni 46.8m
6. McIlroy       golf               pauni 38.6m
6. Luck          A. football         pauni 38.6m
8. Curry          kikapu          pauni 36.5m
9. Harden       kikapu           pauni 36m
10. Hamilton   Formula One     pauni 35.5m

No comments