Header Ads

Ijumaa Figa Bomba Girl 2017… Wema, Sanchi na Masogange Watinga Fainali


Staa wa Bongo, Jane Ramoy ‘Sanchi’ (Namba yake ni 25).
Msanii Agnes Gerald ‘Masogange (Namba yake ni 23)
Staa wa Bongo Wema Sepetu (Namba yake ni 18)
MSANII wa filamu Bongo, Kajala Masanja ameliaga shindano baada ya kupigwa kura chache.
Kutoka kwa Kajala kunabakiza vita ya washiriki watatu ambao ni Sanchi, Masogange na Wema. Unavyodhani nani ataibuka mshindi?
Jibu ni rahisi, chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia SMS kisha
andika SHEPU acha nafasi ,andika namba ya mshiriki unayemtaka abaki na utume kwenda 15542. Hii ni kwa wateja wa VODACOM pekee.
Bado tunaendelea kupokea wadhamini katika shindano hili. Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na mhariri kwa namba +255 713 133 633.  

No comments