Header Ads

Jacqueline Wolper Staa wa Kike anayejua Kutupia pamba za ukweli, Picha zake zaibua shangwe Instagram

 MUIGIZAJI mwenye jina Bongo, Jacqueline Wolper ‘Wolper’kama kawaida yake siku ya jana ameendeleza ratiba yake ya kutupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Instahram, Mashabuki zake walimpongeza kwa kuendelea kuwakimbiza mastaa wa kige bongo.


No comments