Header Ads

JPM Amuapisha Mama Anna Mghwira Kuwa RC wa Kilimanjaro na Kumkabidhi Ilani ya CCM

Rais Dkt Magufuli akimuapisha mama Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es salaam Juni 6, 2017.
IKULU, DAR: Rais Magufuli amemuapisha mama Anna Elisha Mghwira wa ACT Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, leo Juni 6, 2017 na kumkabidhi Ilani ya CCM.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania Bara) Ndg. Rodrick Mpogolo akimkabidhi ilani ya CCM Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Elisha Mghwira.Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Anna Elisha Mgwira akiongea jambo la shukrani mara baada ya kuapishwa na Rais Magufuli kushika wadhifa huo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akiingia kwenye gari lake kuelekea kituo chake cha kazi baada ya kuapishwa leo na Rais Magufuli.

No comments