Header Ads

LIVE: Mapokezi ya Rayvanny Airport DSM baada ya kushinda BET

Ni LIVE kutoka Airport DSM ambako kuna mapokezi ya mwimbaji Reyvanny anayewasili kutoka Marekani akiwa na tuzo yake ya BET Viewers Choice Best New International Act Artist.

No comments