Header Ads

Nafasi za Kazi


OGOPA MATAPELI: YEYOTE ANAYEKUTAKA UTOE HELA ILI KUPATA KAZI ILIYOTANGAZWA HAPA NI TAPELI, TUTAARIFU ILI TUSHUGHULIKE NAYE.
MARIE STOPES TANZANIA
NAFASI: Meneja wa Hospitali
SIFA: Digrii ya udaktari au katika afya, sayansi ya jamii, biashara au elimu inayofanana, mwenye uzoefu wa miaka mitano katika sekta ya afya na mitatu ya hiyo kwenye nafasi za utawala, anayeongea na kuandika vizuri Kiingereza na Kiswahili
MAWASILIANO: Mkurugenzi wa Utawala, Marie Stopes, P. O. Box 7072, Dar es Salaam, +255 768 987 780
Mwisho wa kutuma maombi ni Julai 2, 201
MTU BINAFSI
NAFASI: Dada wa kazi
SIFA: Umri kuanzia miaka 18- 20, mwaminifu, mchapakazi, mcha Mungu na anayeweza kufanya kazi Dar es Salaam.
MAWASILIANO: 0710 269 677
Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikana
**
DANNY ANIMAL FEEDERS CO
NAFASI: Meneja Masoko (2), Madereva 5
SIFA: Leseni hai, vyeti vya masomo kutoka vyuo na shule zinazotambulika
MAWASILIANO: 0743 89 71 40
Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikana
**
EFC TANZANIA MICROFINANCE BANK LTD
NAFASI: Meneja Mikopo
SIFA: Mwenye uelewa na masuala ya mikopo, digrii ya Chuo Kikuu, uzoefu wa miaka mitano kwenye taasisi ya kifedha, mwenye uwezo wa kuongoza na anayefahamu kutumia kompyuta
MAWASILIANO: Utawala, P.O. Box 11735, Dar es Salaam
Mwisho wa kutuma maombi ni Julai 21, 2017
**
HATUA SAFI GROUP
NAFASI: Madereva bodaboda/Bajaj
SIFA: Wawe na leseni zilizo hai, uzoefu wa kazi hiyo, wasio na rekodi ya ajali za barabarani, waaminifu
MAWASILIANO: 0745 086 137
Mwisho wa kutuma maombi ni hadi atakapopatikana
GOLD CREST HOTEL MWANZA
NAFASI: Mwangalizi wa hoteli/usafi
SIFA: Mwenye cheti cha Hotel Management kutoka chuo kinachotambuliwa, mwenye uzoefu wa kazi za hoteli ambaye majukumu yake yatakuwa ni pamoja na kusimamia nidhamu ya staff wote.
MAWASILIANO: Tuma kivuli cha wasifu kupitia hr@ goldcresthotel.com
Mwisho wa kupokea maombi ni Juni 30, 2017

No comments