Header Ads

Picha za JLO Akila Bata na Mpenzi Wake Ufukweni Italia

Maisha yanataka nini tena? Una pesa, unakwenda unapotaka na kufanya unavyotaka. Utakachokifikiria moyoni mwako ni kumtumikia Mungu tu. Huku akiwa kwenye penzi jipya na mpenzi wake, Alex Rodgruez, mwanamama asiyeisha hamu, Jeniffer Lopez ameonekana akila bata na mpenzi wake nchini Italia.
Nimekuwekea picha hapa chini uzitazame uone jinsi watu wanavyoweza kuyafurahia maisha, huku akaunti zao za benki zikisoma mkwanja wa kutosha.
Wakiwa ndani ya boti.
Walipokuwa wakiingia kwenye boti.
Akijipulizia body spray.


Wakichati kama kawa.

Alex akijirusha baharini.
Wakiwa wamepumzika.

No comments