Header Ads

Ronaldo Awa Mfungaji Bora Ligi Ya Mabingwa Ulaya, afunga Mabao 12, Messi 11


Msimu wa 2016/17 umemalizika kwa staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kuwa mfungaji bora wa ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Ronaldo amemaliza michuano hiyo akiwa mfungaji bora kutokana na kufunga magoli 12 akimzidi Lionel Messi aliyefunga mabao 11.
Ronaldo ambaye alianza msimu vibaya kwa kusuasua katika kufunga mabao kwenye michuano hiyo aliongeza kasi ya mabao katika hatua za mtoano


No comments