Header Ads

Sasha Achukizwa na Wanaobeza Umbo Lako....Hizi ndo Picha zake 20 Jionee


 VIDEO Queen Sasha Kassim ameibuka na kusema kuwa anachukizwa na wanaobeza umbo lake kuwa si halisi kitendo ambacho huwa kinamkosesha amani na kuamua kukaa ndani muda mwingi.

Akizungumza Sasha alisema kuwa kila anapopita huwa anabezwa na kuulizwa kuhusu umbo lake kama ni halisi au amevaa ‘sponji’, hali hiyo humtesa na kumsababishia kuwaonesha watu uhalisia wa umbo lake.

“Mwenzako siku moja nilienda club nikakutana na akina dada ambao walianza kuniuliza kama umbo langu kweli kuwaonesha kuwa sijafoji nilienda chooni na kuwaonesha kwa kuchojoa nguo ndipo waliamini,” alisema Sasha.

Sasha alisema kuwa umbo lake amerithi kwa bibi yake ambaye ni marehemu na kudai hivi sasa amepungua kwani huko nyuma alikuwa na shepu iliyomfanya awe anasafi ri bure kwani makondakta na madereva walikuwa wakidatishwa nayo.


No comments