Header Ads

Uchaguzi TFF Kazi Ipo, Wanaowania Urais Dhidi Ya Malinzi Wafikia WatatuRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bw. Jamal Malinzi.

Uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), umepangwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu mjini Dodoma.

Tayari wagombea wameanza kuchukua fomu na wamekuwa wakijitokeza kwa kasi kubwa.

Kinachoshangaza zaidi ni idadi kubwa ya wale wanaowania nafasi ya urais inayoshikiliwa na Jamal Malinzi.

Waliojitokeza ni watatu hadi sasa wakionyesha kwamba wanaitaka nafasi hiyo ili kufanya sahihi zaidi.

Wadau hao wamejitokeza kuchukua fimu hizo kwa kipindi cha siku mbili tu, yaani jana Ijumaa na leo Jumamosi katika ofisi za TTF, Karume jijini Dar es Salaam.
URAIS
Jamal Malinzi
Imani Madega
Wallace Karia
Fredrick Masolwa

MAKAMU RAIS
Mulamu Nghambi
Michael Wambura

No comments