Header Ads

Video: "Mimi na Wema Sepetu tunakutana sana” – Diamond Platnumz


Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na On AiR with Millard Ayo kuzungumzia ishu mbalimbali za muziki akiwa na kundi lake la WCB ambapo pamoja na maswali mengine, alijibu kuhusu uhusiano uliopo kwa sasa kati yake na aliyewahi kuwa Miss TZ 2006 Wema Sepetu ambapo.

No comments