Header Ads

Video nzima ya mechi: Kutoka Azam Complex: Taifa Stars 1-1 Lesotho

Taifa Stars ambayo iliweka kambi nchini Misri kwa ajili ya mchezo huo wa kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ya mwaka 2019, imeambulia sare ya bao 1-1 katika mchezo huo wa kwanza wa Kundi L.

Ikianza kucheza kwa kasi ndogo, Taifa Stars iliongeza kasi baada ya Samatta kufunga bao dakika ya 27 kwa njia ya faulo baada ya beki Gadiel Michael kuchezewa faulo nje ya eneo la 18.
Mpira aliopiga Samatta ulielekea wavuni moja kwa moja na kuamsha shangwe kwa mashabiki waliohudhuria mchezo huo ulioanza saa 2:00 usiku wa Jumamosi.

No comments