Header Ads

21 Savage, Amber Rose Ndani Ya Penzi Zito

[caption id="attachment_153157" align="aligncenter" width="634"] Muigizaji ambaye pia ni Mwanamitindo, Amber Rose (kushoto) akiwa na mpenzi wake wa sasa rapa kutoka Atlanta, 21 Savage.[/caption]
RAPA kutoka Atlanta, 21 Savage ambaye hivi karibuni ameachia album yake ya Issa, amekiri tetesi zilizosambaa kuwa kwa sasa yu mapenzini na muigizaji ambaye pia ni Mwanamitindo Amber Rose.
Rapa huyo amerithi mikoba ya Wiz Khalifa ambaye alizaa na  . Kupitia mahojiano yake na kituo cha redio, amesema hivi;
“Yule ni msichana wangu, kwa hakika kabisa, tupo kwenye mahusiano, ni msichana mzuri sana, yuko poa, ananihudumia kama mfalme, hivyo ndivyo ilivyo, ila akinivunjia heshima sitavumilia kabisa, funga mdomo wako, hakuna vijembe, hakuna wanafiki, au chochote kile kitakachovunja mahusiano yetu kwa sababu namuamini Mungu.”

No comments