Header Ads

HATIMAYE ROONEY ASAJILIWA NA EVERTON

[caption id="attachment_153362" align="aligncenter" width="634"] Mshambuliaji Wayne Rooney akimilisha mchakato wa kujiunga na timu ya Everton.[/caption][caption id="attachment_153363" align="aligncenter" width="634"] ...Akiwa katika muonekano mpya.[/caption]
Mshambuliaji Wayne Rooney amekamilisha mchakato wa kujiunga na timu ya Everton akitokea Manchester United katika usajili huru, leo Jumapili. SportPesa wanadhamini timu ya Everton.
Staa huyo mwenye umri wa miaka 31, amerejea klabuni hapo baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita akiwa chipukizi ambapo aliuzwa kwa pauni milioni 26.5 kipindi hicho.
Everton imempa mkataba wa miaka miwili na atakuwa akilipwa mshahara wa pauni 150,000 kwa wiki.

No comments