Header Ads

JOHN TERRY BAADA YA KUONDOKA CHELSEA NA KUTUA ASTON VILLA HUYU HAPA


Beki na nahodha wa muda mrefu wa Chelsea, John Terry ametua Aston Villa.

Terry amesaini mkataba wa mwaka mmoja na atakuwa akipokea pauni 80,000 kwa wiki.

Beki huyo mwenye umri wa miaka 36, atakuwa chini ya kocha Steve Bruce ambaye ni beki wa zamani wa kati wa Manchester United. No comments