Header Ads

Man United Yawapiga LA Galaxy 5 – 2 Nyumbani KwaoKikosi cha Manchester United ya Uingereza ikiongozwa na kocha wake Jose Mourinho kimecheza mechi ya kwanza ya kirafiki bila kabla ya kuanza msimu wa Ligi Kuu ya England 2017/8 dhidi ya LA Galaxy ya Marekani, mechi iliyochezwa katika Uwanja wa StubHub Center wenye uwezo wa kuchukua mashabiki  25,000 ambapo Romelu Lukaku alicheza mechi yake ya kwanza na kufunga bao katika mchezo ulioisha kwa Man United kushinda kwa mabao 5 -2.

Kwa upande wa Manchester waliofunga ni Rushford, Romelu Lukaku, Ferraine na  Mkhitaryan.

No comments