Header Ads

Pepo la Picha za Utupu Lamvaa Mwanamuziki Malaika


MUNGU WANGU! Mastaa wa Bongo ni kama wamevamiwa na pepo la picha za utupu au zinazoonyesha baadhi ya viungo vyao vya siri. Baada ya Ben Pol kuanza, sasa ni zamu ya Malaika anayetamba na ngoma yake ya Rarua Rarua.
Picha aliyoposti
Malaika amezua gumzo kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram baada ya kuposti picha inayoonyesha vizuri matiti yake, hali iliyopelekea baadhi ya mashabiki kumrushia maneno ya kashfa, huku wakitafsiri kitendo hiko kama sehemu ya matangazo ya biashara ya mwili wake, hivyo baadhi yao wakikomenti na kumtaka kuanika na bei anayojiuzia.
Na: Isri Mohamed, (GPL)

No comments