Header Ads

WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA

Mwenyekiti wa klabu ya Dar es salaam Gymkhana, Walter Chipeta, akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakeyembe akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa klabu ya Dar es salaam Gymkhana, Walter Chipeta, akikabidhi zawadi kwa mshindi wa jumla wa mchezo wa Gofu, Asim Mohamed Rahim aliyeshinda kwa pointi 81 wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Dar Gymkhana, George Kritsos wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.
(Picha: Klabu ya Dar es salaam Gymkhana)

No comments