Header Ads

Waziri Mwakyembe apata msiba mzito, Afiwa na mke wake


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na mkewe, Linah George Mwakyembe Jumamosi hii. 

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa inasema marehemu alilazwa katika hospitali ya Aga Khan ambapo alikuwa akipatiwa matibabu mpaka kifo kilipomfika. 

No comments